Mama Wa Marehemu MBALAMWEZI Asimulia Mwanae Alivyoondoka Nyumbani

Loading...
Global TV Online
Published on Aug 16, 2019
186,663 views
873 likes
Mama Wa Marehemu MBALAMWEZI Asimulia Mwanae Alivyoondoka Nyumbani

Mama Wa Marehemu MBALAMWEZI Asimulia Mwanae Alivyoondoka Nyumbani TANZIA: Taarifa zilizotufikia ni kwamba mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaounda Kundi la The Mafik, aitwaye ‘Mbalamwezi‘ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Ijumaa, Agosti 15 2019. Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na msanii mwenzake wa kundi hilo aitwaye Hamadai, lakini chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana. Mwili wa marehemu Mbalamwezi umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam. Global TV imefika msibani nyumbani kwa marehemu na kuzungumza na Mama yake mlezi ambaye amesimulia kile anachokijua kuhusiana na kifo cha mwanae huyo. #RIPMBALAMWEZI https://ytube.tv/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Tags:
353 Comments